Somo la 7 Python Sqlite: Jinsi ya kufuta data kwenye database

Karibu kwenye somo la saba la CRUD! Leo tunajifunza DELETE, amri ambayo inaruhusu kufuta data (rekodi) kutoka kwenye meza. Kama vile UPDATE, amri ya DELETE inategemea sana kitambulisho cha pekee (ID) ili kufanya kazi yake kwa usalama.

 

Hatua kwa Hatua: Kuelewa DELETE

 

Somo hili lina hatua mbili muhimu: Kupokea ID ya kufuta na Kutekeleza amri ya kufuta.

Tazama code hizi.

Mfano:

 
import db_conn as dbConn

def deleteData(id:int):
    connection = dbConn.get_connection()
    pointer = connection.cursor()
    query = """
    DELETE FROM products WHERE id = ?
    """
    id_to_delete = (id,)
    pointer.execute(query, id_to_delete)
    connection.commit()
    connection.close()
    print('Data imefutwa kikamilifu \n')
   
    import read as Soma
    Soma.ReadData()
   
def passIdToDelete():
   
    import read
    try:
        Id = int(input('Ingiza kitambulisho cha bidhaa ya kufuta > '))
        deleteData(Id)
    except ValueError as kosa:
        print(f'{kosa}')
       
passIdToDelete()
 

 


 

1. Kazi ya passIdToDelete(): Kuandaa Kufuta

 

Kazi hii inahusika na kuonyesha data zote zilizopo na kupokea ID kutoka kwa mtumiaji.

 


 

2. Kazi ya deleteData(): Kutekeleza Amri ya SQL

 

Kazi hii inafanya muunganiko na kutekeleza amri halisi ya DELETE.

 


 

Hitimisho la CRUD

 

Hongera kwa kutambua hatua zote nne za msingi za utunzaji wa data (CRUD - Create, Read, Update, Delete) kwa kutumia Python na SQLite3:

Kifupisho

Kazi

Amri ya SQL

Faili

C

Create (Kuunda)

INSERT INTO

insert.py

R

Read (Kusoma)

SELECT FROM

read.py

U

Update (Kusasisha)

UPDATE ... WHERE

update.py

D

Delete (Kufuta)

DELETE FROM ... WHERE

delete.py

 

VIDEO TUTORIAL: ?

Tazama na download video hapa

MWISHO:

Katika somo linalofuata tutasoma ni namna gani tunaweza kujuwa kiasi au jumla ya deni kwa wadeni wote waliokopa