Somo la 3 python sqlite: Jinsi ya kuunda table kwenye database ya SQLITE na Python

Baada ya kujua jinsi ya kuunda database, hatua inayofuata ni kuunda meza (table) ndani yake. Fikiria database kama faili la kuhifadhia (file cabinet), na meza ndiyo droo unayoweka data yako. Kila droo ina sehemu zake maalum za kuandikia vitu, ambazo tunaziita safu (columns).

 


 

Hatua kwa Hatua: Kuelewa CREATE TABLE

1. Amri ya Kuanzisha

 

 


 

2. Safu (Columns) na Aina za Data

 

Ndani ya mabano (...), unaeleza muundo wa meza yako, ukiorodhesha kila safu (column) na aina ya data (data type) itakayoifadhiwa.

 


 

Aina za Data za SQLite Mbali na INTEGER na TEXT

 

SQLite inasaidia aina tano za data, ambazo zinatumika kufafanua ni aina gani ya habari itakayohifadhiwa kwenye kila safu.

  1. NULL: Hii inaashiria kwamba thamani ya safu ni haipo au ni batili.

  2. REAL: Hii inahifadhi namba za desimali (decimal numbers). Kwa mfano, 3.14, 25.5. Ungeitumia kwa bei au hesabu zinazohitaji desimali.

  3. BLOB: Hii inasimama kwa "Binary Large Object." Inatumika kuhifadhi data ya binary kama vile picha, sauti, au faili zingine. Data hii haisomeki kama maandishi.

 

VIDEO TUTORIAL: ?

Tazama na download video hapa

 

MWISHO:

Katita somo linalofuata tutaenda kujifunza jinsi ya kuweka data kwenye table ndani ya database