Map ni ana ya data ambazo zinakuwa na key na value.mfano {jina=bongoclass, umri=5, mmiliki=binafsi, hali=ipo hai}. Hapa jina ni key na bongoclass ni value. Hivyo hivyo kwenye umri ni key na 5 ni value….
Unaweza kutengeneza map kabla ya kuiwek kwneyemchakato, kama nilivyofanya hapo juu. Ama unaweza kuweka data kisha map itatengenezwa wakati program inapo run kama hapo chini. Nimetengeneza map ya website kwa kutumia mutableMapOf.
fun main() {
val websites = mutableMapOf<String, Any>()
websites["jina"] = "bongoclass"
websites["umri"] = 5
websites["mmiliki"] = "binafsi"
websites["hali"] = "ipo hai"
println(websites)
}
{jina=bongoclass, umri=5, mmiliki=binafsi, hali=ipo hai}
Map properties:
- `keys` hutumika kupata keys za map
- `values` hutumika kupata values za map
- `size` hutumika kupata idadi ya item
- `isEmpty` kuangalia kama map ni tupu
- `isNotEmpty` kuangalia kama map sio tupu
fun main() {
val websites = mutableMapOf<String, Any>()
websites["jina"] = "bongoclass"
websites["umri"] = 5
websites["mmiliki"] = "binafsi"
websites["hali"] = "ipo hai"
println("keys")
println(websites.keys)
println("values")
println(websites.values)
println("size")
println(websites.size)
println("isEmpty")
println(websites.isEmpty())
println("isNotEmpty")
println(websites.isNotEmpty())
}
Map methods
- `putAll()` hutumika kuongeza item kwenye map
fun main() {
val website = mutableMapOf("jina" to "bongoclass", "umri" to 5, "mmiliki" to "binafsi", "hali" to "ipo hai")
website.putAll(mapOf("lugha" to "kiswahili"))
println(website)
}
{jina=bongoclass, umri=5, mmiliki=binafsi, hali=ipo hai, lugha=kiswahili}
- `remove` hutumika kuondoa item kwenye map. Utatumia key ya hiyo item
fun main() {
val website = mutableMapOf("jina" to "bongoclass", "umri" to 5, "mmiliki" to "binafsi", "hali" to "ipo hai")
website.remove("jina")
println(website)
}
{umri=5, mmiliki=binafsi, hali=ipo hai}
- `clear()` hii hutumika kufuta item zote kwenye map
fun main() {
val website = mutableMapOf("jina" to "bongoclass", "umri" to 5, "mmiliki" to "binafsi", "hali" to "ipo hai")
website.clear()
println(website)
}
{}
- `forEach` unapotaka kuifanyia kazi kila item katika map utatumia `forEach` ni kama tulivyoona kwenye list.
fun main() {
val website = mutableMapOf("jina" to "bongoclass", "umri" to 5, "mmiliki" to "binafsi", "hali" to "ipo hai")
website.forEach { (key, value) ->
println("$key: $value")
}
}
fun main() {
val website = mutableMapOf("jina" to "bongoclass", "umri" to 5, "mmiliki" to "binafsi", "hali" to "ipo hai")
var z = 1
website.forEach { (key, value) ->
println("$key: $value")
}
}
Mwisho:
Somo linalofuata tutakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza library yetu wenyewe na kuifanyia kazi.