Kabla ya ku sign App kwanza tutahitajika kutengeneza faili la keystone. Hii ni kwa ajili ya App za android tu na sio ios. Hivyo basi tutafufuata hatuwa kwa hatu.

 

Mambo ya kuzingatia:

Kabla ya kuanza kutengeneza keystone kwanza tunatakiwa tuhakikisha kuwa flutter path ipo kwenye environment variable.kama bado rejea video yetu hii jinsi ya ku add flutter 

 

Pia hakikisha umesha add java path kwenye environment variable. Utafanya kama ulivyofanya wakati wa ku add flutter kwenye environment variable.

 

Ili kucheki kama vyote hivyp vipo, start button ya window tafuta program inaitwa cmd. Hapo ni uwanja wa kuandika commamd. Andika flutter doctor hii command itakuletea maelezo kuhusu flutter. Kama hutopata maelezo hayo huwenda huja add enviromnent vyema.

 

Ili kuakikisha kama java ipo tayari kwa matumizi andika command hii java -version utaona itakuletea maelekezo kuhusu toleo a java unalotumia na maelekezo mengineyo. Kama haitakuwepo badi unaweza ku download jdk kwenye tovuti ya oracle.

 

Jinsi ya kutegeneza keystore file

Kwa watumiaji wa windo, ingia kwenye cmd kisha run command hii

keytool -genkey -v -keystore %userprofile%\upload-keystore.jks -storetype JKS -keyalg RSA -keysize 2048 -validity 10000 -alias upload

 

Command hii unakuwezesha kutengeneza faili hilo kwenye location ya user wa kompyuta. Yaani kwenye disk c -> user -> username

 

Kwa watumiaji wa macOS au linux tumia command hii

keytool -genkey -v -keystore ~/upload-keystore.jks -keyalg RSA \

        -keysize 2048 -validity 10000 -alias upload

 

Baada ya apo utafatamaelekezo. Kwanza utatakiwa kuweka password na kuzirudi, kisha utaandika jina lako, unapoishi, na nyinginezo. Cheki picha hapo chini, baada ya kujaza swali bofya enter 

 

Haya ni maswali utakayoulizwa na mfano wa majibu yake

  1. Enter keystore password   mfano: bongoclass  angalau password ziwe character 8

  2. Re-enter password  mfano: bongoclass

  3. What is your first name and last name  Mfano: Bongo class

  4. What is the name of your organizational unit  mfano: bongo255

  5. What is the name of your organization mfano Bongoclass

  6. What is the name of your city or locality mfano: Tanga

  7. What is the name of your state or province  mfano: Pangani

  8. What is the two-letter country code for this unit  mfano : 255

  9. Mwisho utaulizwa kama taarifa ni sahihi. Taandika yes.

 

 

Baada ya kubofya hapo utatakiwa kutengeneza key password. Kumbuka zile za kwanza ulizoweka zinaitwa keystore password. Hivyo basi hapa utaweka password nyingine ambazo zinaitwa keypassword angalau password ziwe character 8



Mpaka kufikia hapo tumeshatengeneza keystone file angaliakwenye profile user wa kompyuta yako utalikuta. Jina linaitwa upload-keystore.jks

Sasa tutaliamisha faili letu na kuliweka sehemu rahisi kulifikia kwenye app yetu.nakwenda kuliweka kwenye flolder la app. Ila usifanye hivi kwa app ambayo sio ya mafunzo. Weka seemu nyingine salama zaidi.

 

Jinsi ya ku sign app

Sasa kw akuwa tayari faili la key lipo, hatuwa inayofuata sasa ni ku sign app. Kufanya hivi fuata hatuwa zifuatazo:-

Nenda kwenye folderla android kisha tengeneza faili liite key.properties kisha pest code hizi

storePassword=<password-from-previous-step>

keyPassword=<password-from-previous-step>

keyAlias=upload

storeFile=<keystore-file-location>

 

Utajaza password hapokwneye password. Utaweka zile password zako mbili. Kwa mimi kule mwanzo nimeweka password zote mbili nimeweka bongoclass. Hivyo kama umezitofautisha hakikisha na hapa zinatofautiana.

 

Hapo kwenye storeFile=<keystore-file-location> utaweka location ya faili la key. Sasa kwa mimi kama nilivyokuonyesha hapo juu nimeliweka kwenye folder la hii app. Folda la hii app linapatikana kwenye disk E -> SOFTWARE PROJECTS->flutter ->Mafunzo kwa maana hii location kamili ya faili la key itakuwa 

storeFile=E:/SOFT PROJECTS/flutter/Mafunzo/upload-keystore.jks

 

Faili letu litaonekana hivi:

storePassword=bongoclass

keyPassword=bongoclass

keyAlias=upload

storeFile=E:/SOFT PROJECTS/flutter/Mafunzo/upload-keystore.jks

 

Hatuwa inayofuata ni kuhakikisha kuwa izi key zetu zinatumika, hivyo kuna configuration tunatakiwa kufanya. Nendakwenye faili linaloitwa build.gradle kwenyr folder la android. Linapatikana kwa location hii android -> app -> build.gradle.

Kwenye hilo faili shuka chini kabla ya kufika kwenye android{ juu yake hapo weka code hizi

def keystoreProperties = new Properties()

def keystorePropertiesFile = rootProject.file('key.properties')

if (keystorePropertiesFile.exists()) {

    keystoreProperties.load(new FileInputStream(keystorePropertiesFile))

}

 

Kisha shuka tena chini kabisa mwisho kabisa wa hilo faili ondo hizi code

flutter {

   source = "../.."

}

 

Kisha jii kuna bano (}) lililotoka kwenye block ya android{ sasa juu ya hilo bano weka code hizi

flutter {

   source = "../.."

}

signingConfigs {

   release {

       keyAlias keystoreProperties['keyAlias']

       keyPassword keystoreProperties['keyPassword']

       storeFile keystoreProperties['storeFile'] ? file(keystoreProperties['storeFile']) : null

       storePassword keystoreProperties['storePassword']

   }

}

 

buildTypes {

   release {

       signingConfig signingConfigs.release

   }

}

 

Kama umeshafika hatuwa hiyo hapo kila kitu tumemaliza. Sasa run command hii kwenye terminal flutter clean. Baada ya hapo run flutter pub outdated unaweza uendelea ku cheki app yako.

 

Mwisho:

Katika soo linalofuata tutakwenda kujifunza jinsiya ku tengeneza apk na aab file kwa ajili ya ku share app ana kuisambaza.