Katika soo hili tutatumia mifano kwenye list yetu hii 

['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft']

 

  1. List properties

Hizi ni sifa ambazo kila list lazima iwe nazo

a. First hii itatuonyesha item ya mwanzo kabisa mwa hiyo list.

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

 print(list1.first);

}

bongoclass

b. isEmpty hii itupa majibu true kama list haina kitu ama false kama ina kitu

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

 print(list1.isEmpty);

}

False

c. isNotEmpty hii itaangaliakama list haina kitu itatupaibu true na kamaina kitu itatupa jibu false

d. length hii itaangalia idadi ya item kwenye hiyo list kwa mfano hapo itatupa jibu 5

e. last hii itatuonyesha item ya mwisho

f. reversed hii itapangilia tena list kutoka mwisho kuja mwanzo

g. single  hii itafanya kazi tu kama item kwenye list ni moja, hiyo itadisplay item hiyo, kama ni zaidi ya moja haitafanya kazi.

 

2. Kuongeza item kwenye list

a. add() hii hutumika kuongeza item moja mwishoni mwa list

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

 var list2 = list1.add('github');

 print(list1);

}

[bongoclass, facebook, google, youtube, microsoft, github]

 

b. addAll hii hutumika kuongeza item zaidi ya moja kwenye list

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

 var list2 = list1.addAll(['github', 'instagram', 'telegram']);

 print(list1);

}

[bongoclass, facebook, google, youtube, microsoft, github, instagram, telegram]

c. insert hii hutumika kuongeza item kwenye list sehemu unapotaka. 

Hapa tutaangalia index. Kumbuka index huhesabiwa kuanzia 0. Mfano tunataka kuweka item ya tatu kwenye lista yetu iwe apple yaani baada ya facebook ifuate apple na sio google. Hivyo ili ikae hapo tuipe inex ya 2, kwa kuwa tunahesabu kuansi 0.

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

 var list2 = list1.insert(2, 'apple');

 print(list1);

}

[bongoclass, facebook, apple, google, youtube, microsoft]

 

d. insertAll hi ni sawa na insert hiyo hapo juu tofauti ni kuw ahii inaongeza item zaidi ya moja

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

 var list2 = list1.insertAll(2, ['apple', 'tesla']);

 print(list1);

}

[bongoclass, facebook, apple, tesla, google, youtube, microsoft]

 

e. Kubadili (update) item kwenye list

Mfano katika list yetu tunataka kui update kwa  kuondosha google kisha kuweka WhatsApp. Kwanza hapo utatakiw akujuwa je hiyo unayotaka kuitoka ina index ya ngapi. Kw amfano hapo google ina index ya 2

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

 list1[2] = 'WhatsApp';

 print(list1);

}

[bongoclass, facebook, WhatsApp, youtube, microsoft]

 

f. replaceRange  hii ni kama tulivyoona hapo juu hutumika ku update itemkwenye list, ila hii ina update item zaidi ya moja kulingana na range unayoitaka. Mfano hapo tunataka ku update kuanzi item ya 1 hadi ya 3, kumbuka index huanzia na 0.

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

 list1.replaceRange(1, 3, ['whatsapp', 'samsung', 'techno']);

 print(list1);

}

[bongoclass, whatsapp, samsung, techno, youtube, microsoft]

 

3. Kuondosha item kwenye list

a. Remove hii hutumika kuondoa item moja kwenye list. Mfano tunataka kuondoa youtube kwenye list yetu

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

 list1.remove('youtube');

 print(list1);

}

[bongoclass, facebook, google, microsoft]

 

b. removeAt hii huondoa item moja kwa kuangalia index yake. Kw amfano kama tutaondoa youtube kwa njia hii tutatumiaindex ya 3

 

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

 list1.removeAt(3);

 print(list1);

}

[bongoclass, facebook, google, microsoft]


 

c. removeLast hii hutumika kuondoa item ya mwisho

d. removeRange () hii hutumika kuondoa item kw akuangalia range maalumu. Ni kama tulvyoona kwenye replaceRanga

 

4. Kufanya iteration kw akutumia forEach

Kwa kutumia forEach unaweza kuifanyia kazi kila item moja katika list. Hii ni njia ya kufanya loop kwenye list

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

list1.forEach((element) {

  print("${list1.indexOf(element)}: $element");

});

}

0: bongoclass

1: facebook

2: google

3: youtube

4: microsoft

 

void main(){

 var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];

list1.forEach((element) {

  print("Jina la website: $element");

});

}

Jina la website: bongoclass

Jina la website: facebook

Jina la website: google

Jina la website: youtube

Jina la website: microsoft

 

import 'dart:math';

 

void main(){

 var list1 = [4, 9, 25, 36, 49, 64, 81, 100];

list1.forEach((element) {

  print(sqrt(element));

});

}

2.0

3.0

5.0

6.0

7.0

8.0

9.0

10.0

 

Mwisho:

Katika somo linalofuata tutakwenda kujifunza method zinazofanya kazi kwenye set kwenye Dart