Katika somo hili tutatumia mifano kwenye list yetu hii ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'].

 

List properties

Hizi ni sifa ambazo kila list lazima ziwe nazo.

 

First hii itatuonyesha item ya mwanzo kabisa mwa hiyo list.

fun main() {

    val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

    println(list1.first())

}

Hii itakupa bongoclass


 

isEmpty hii itupa majibu true kama list haina kitu ama false kama ina kitu.

fun main() {

    val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

    println(list1.isEmpty())

}

Hii itakupa jibu false.


 

isNotEmpty hii itaangalia kama list haina kitu itatupa jibu true na kama ina kitu itatupa jibu 

false.

fun main() {

   val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   println(list1.isNotEmpty())

}

 

Hii itakupa jiu true

 

size hii itaangalia idadi ya item kwenye hiyo list kwa mfano hapo itatupa jibu 5.

fun main() {

   val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   println(list1.size)

}

Hii itakupa jibu 5


 

last hii itatuonyesha item ya mwisho.

fun main() {

   val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   println(list1.last())

}

Hapo itakupa jibu microsoft

 

reversed hii itapangilia tena list kutoka mwisho kuja mwanzo.

fun main() {

   val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   println(list1.reversed())

}

 

single hii itafanya kazi tu kama item kwenye list ni moja, itadisplay item hiyo, kama ni zaidi ya moja haitafanya kazi.

fun main() {

   val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   println(list1.isNotEmpty())

   println(list1.size)

   println(list1.last())

   println(list1.reversed())

   println(list1.singleOrNull())

}

 

Kuongeza item kwenye list

add() hii hutumika kuongeza item moja mwishoni mwa list.

fun main() {

   val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1.add("github")

   println(list1)

}

 

addAll hii hutumika kuongeza item zaidi ya moja kwenye list.

fun main() {

   val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1.addAll(listOf("github", "instagram", "telegram"))

   println(list1)

}

 

insert hii hutumika kuongeza item kwenye list sehemu unapotaka kwa kutumia index.

fun main() {

   val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1.add(2, "apple")

   println(list1)

}

 

insertAll hii ni sawa na insert ila inaongeza item zaidi ya moja.

fun main() {

    val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

    list1.addAll(2, listOf("apple", "tesla"))

    println(list1)

}

 

Kubadili (update) item kwenye list

Kwa kutumia index.

fun main() {

   val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1[2] = "WhatsApp"

   println(list1)

}

 

replaceRange hii ni kama tulivyoona hapo juu hutumika ku update item kwenye list, ila hii ina update item zaidi ya moja kulingana na range.

fun main() {

   val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1.subList(1, 4).clear()

   list1.addAll(1, listOf("whatsapp", "samsung", "techno"))

   println(list1)

}

 

Kuondosha item kwenye list

Remove hii hutumika kuondoa item moja kwenye list.

fun main() {

   val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1.remove("youtube")

   println(list1)

}

Hii itakupa [bongoclass, facebook, google, microsoft]

 

removeAt hii huondoa item moja kwa kuangalia index yake.

fun main() {

   val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1.removeAt(3)

   println(list1)

}

Hii itakupa [bongoclass, facebook, google, microsoft]

 

removeLast hii hutumika kuondoa item ya mwisho.

fun main() {

   val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1.removeAt(list1.size - 1)

   println(list1)

}


 

removeRange hii hutumika kuondoa item kwa kuangalia range.

fun main() {

   val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1.subList(1, 4).clear()

   println(list1)

}


 

Kufanya iteration kwa kutumia forEach

Kwa kutumia forEach unaweza kuifanyia kazi kila item moja katika list. Hii ni njia ya kufanya loop kwenye list.

fun main() {

   val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1.forEachIndexed { index, element ->

       println("$index: $element")

   }

}

 

fun main() {

   val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   list1.forEach { element ->

       println("Jina la website: $element")

   }

}

 

import kotlin.math.sqrt

 

fun main() {

   val list1 = listOf(4, 9, 25, 36, 49, 64, 81, 100)

   list1.forEach { element ->

       println(sqrt(element.toDouble()))

   }

}

 

Mwisho:

Katika somo linalofuata tutakwenda kujifunza method zinazofanya kazi kwenye set kwenye Kotlin.