-    Sanda ya mtoto mdogo, wa kike au kiume wasiofikia baleghe ni majamvi matatu, kama ilivyo sanda ya mwanamume.