Python somo la 56: Kuongeza Data Katika Database kwa Kutumia Django Admin na Django Shell
Katika somo hili tutajifunza njia mbili muhimu za kuongeza data kwenye database katika project yetu ya pybongo (app: menu). Njia hizi ni: Kutumia Django Admin Kutumia Django Shell Utafahamu pia jinsi ya kusajili models kwenye admin, jinsi ya kuingia admin panel, na namna ya kutengeneza entries mpya za MenuItem.
Tembelea Website yetu www.bongoclass.com kusoma makala hii. Makala hii imezuiwa hapa.