KUTENGENEZA MODEL YA MENU NA UFUNUZI WA FIELD ZAKE

Katika Django, model ni class inayotumika kuunda jedwali (table) kwenye database. Kila kipengele kwenye model ni field inayowakilisha safu (column) ya data. Hii model ndio itakwenda kuamrisha django kutengeneza table yenye field fulani kwneye database.

 

Kwa lugha rahisi ni kuwa, tunapotumia framework, ili kuweza kucheza na database, kama kuteneneza table, ama kubadili, kufuta n.k, huwa tunatumia model ili kuweza kufanya hayo. model ni class ambayo inaadikwa kwa ajili ya ku manipulate database.

Kwenye App ndani ya project tafuta folder faili linaloitwa models.py hapo uta pest code hozo hapo chini.

Tuna mfano wa model yetu kama ifuatavyo:

from django.db import models

class MenuItem(models.Model):
    jina = models.CharField(max_length=100)
    maelezo = models.TextField(blank=True)
    muda_upatikanaji = models.CharField(max_length=50)
    bei = models.DecimalField(max_digits=10, decimal_places=2)

    def __str__(self):
        return self.jina

Hebu tuchambue kila sehemu ya model hii kwa undani:


? 1. jina = models.CharField(max_length=100)


? 2. maelezo = models.TextField(blank=True)


? 3. muda_upatikanaji = models.CharField(max_length=50)


? 4. bei = models.DecimalField(max_digits=10, decimal_places=2)


? 5. def __str__(self): return self.jina


? MAELEZO YA ZIADA KUHUSU FIELD ZA DJANGO

Kipengele Maana
max_length Urefu wa juu wa maandishi (CharField, EmailField, n.k.)
blank=True Ruhusu sehemu hii kuachwa wazi kwenye fomu
null=True Ruhusu NULL kwenye database (backend level)
default=value Thamani ya awali kama hakuna kilichojazwa
unique=True Hakikisha hakuna data inayojirudia
choices=[()] Weka orodha ya chaguzi zinazokubalika

? MUHTASARI WA SOMO