Swali

Lazima matiti kuuma kwa mimba changa❔

 

Jibu: 

🌿 Sio lazima. Unaweza kupata ujauzito na usiumwe na matiti hata kidogo. Pia wapo wajawazito wanapata ujauzito bila ya kuona dalili mpaka atakaposhangaa kwa nini halafu siku zake.