Swali: 

Je dalili ya kuuma tumbo huanza baada ya wiki ngapi Toka mwanamke apate ujauzito?

 

Jibu: 

Maumivu ya tumbo kama dalili ya ujauzito yanaweza kutokea mapema sana hata wiki ya 2. Upo uwezekano pia wa kutokea wiki ya kwanza,  japo sio sana. Hata hivyo yanaweza yasitokee kabisa mwanzoni mwa ujauzito. 

 

Kwa baadhi ya wanawake wengi shida ya kuumwana tumbo mara kwa nasra unaweza asijuwe kama ni mjamzito mpaka pale atakapozikosa aika zake.