1. Kuwapa Wanaostahiki.

- Zakat au Sadaqat hutolewa kupewa watu maalumu wanaohitajia, wenye matatizo na zikitolewa kwa asiyestahiki, huwa ni dhuluma.

Rejea Qur’an (9:60).