Jinsi ya kuiandika
Kwanza utaanza na keyword for kisha itafuatiwa na mabano() ndani ya mabano utaweka contition zako. Condition ina sehemu kuu mbili. Kwanza ni value yaani thamani ya hiyo taarifa yako. Kisha ni array yako. Inaweza kuwa katika variable ama kawaida. Kisha itafuwata mabano ya {} ndani yake utaweka statement ambayo inatakiwa i excute.
for(value Of array){
statement
}
Hapo neno value litasimama kumaanisha taarifa zetu ambazo tutakwenda kuzisoma. Unaweza sema ni variable ambayo itawakilisha data ambazo tunakwenda kuzisoma. Na neno array litawakilisha taarifa ambazo zinachakatwa.
<html>
<head>
<title>Mafunzo ya javascript</title>
</head>
<body>
<script>
var watoto = ['juma', 'hassan', 'john', 'paul', 'rashidi', 'daudi', 'mwajuma'];
for(majina of watoto){
document.write(majina+'<br>')
}
</script>
</body>
</html>
Sasa ngoja tuone mfano huo huo bila ya kutumia variable.
<html>
<head>
<title>Mafunzo ya javascript</title>
</head>
<body>
<script>
for(majina of ['juma', 'hassan', 'john', 'paul', 'rashidi', 'daudi', 'mwajuma'] ){
document.write(majina+'<br>')
}
</script>
</body>
</html>
Tukutane somo la 21 tutakwenda kujifunza kuhusu while loop kwenye javascript