Funga ya Ramadhani na zinginezo.

Maana ya swaumu (funga).

Kilugha:  Kujizuilia kufanya jambo lolote ulilolizoea kulifanya.

    Kisheria: Ni kujizuilia na kila chenye kufunguza kuanzia Alfajir ya kweli hadi

                                  kuzama jua.