- Kutoa Vilivyo halali.
- Mali ya halali na iliyochumwa kwa njia ya halali ndio inayofaa kutolewa Zakat ua Sadaqat. Mali ya haramu au iliyochumwa kwa njia ya haramu haikubaliki.
Rejea Qur’an (4:10), (23:51) na (2:172).