Hatuwa za kubadili package name ama Bundle identifier kuna hatu chache ambazo utazipitia. Sasa wacha tuone hatuwa kwa hatuwa:-

 

Kwa android:

  1. Kubadili app id

Ndenda kwenye faili linaloitwa build.gradle linalopatikana kwenye Android -> app -> buil.gradle

Moja kwa moja nenda kwenye defaultconfig hapo utakutana na mstari umeandikwa applicationId mbele yake kuna application id inayoanza na com kwa mimi ni com.example.mafunzo

Badili hiyo applicationId kuwa nayoitaka. Kwa mfano nataka iwe com.mafunzo.tehama. Hivyo itakuwa hivi applicationId = "com.mafunzo.tehama"

 

  1. Kubadili app code:

Angalia tena kwenye hiyo defaultConfig utaona kwenye list hapo kuna palipoandikwa versionCode = flutterVersionCode.toInteger()

Hapo unaweza kuach kama palivyo ama unaweza kubadili code unayoitaka. Mfano app yako ipo playstore code ya 12, sasa unataka code ya 13 hivyo utakuja hapo na kuweka 13

Baada ya hapo run app yako package itakuwa imeshabadilika. Sasa mimi hapo nitaweka 1.

  1. Kubadili minSdk 

minSd n fupsho cha minimum skd, sasa unaweza kuacha kama palivyo. Ila kama unataka app yako iweze kutumiwa na hata simu za zamani utaweka sdk ya chini unayotaka. Kwa mfano ukiweka 15 ina maana app yako itaweza kufunguliwa na android version ya 4. 

  1. targetSdk

Hii inaeleza inaonyesha API ambayo app imetarget. Vyema ukaacha kamapalivyo kama huhitaji ku target android version za zamani. Google uwa kila mwakawanatakautarget latest android sdk, 

  1. versionName

Hii inaonyesha jina la hilotoleo. Jina litakaa kwenye mtindo wa namba za matoleo. Mfano 1.0.0. Hata hivyo sio lazima. Unaweza kuandika hata kwa digit moja. Piaunaweza kuacha kama palivyo, flutter yenyewe itakuwa unaweka jina la toleo ambalo lipokwenye pubspec.yaml.

 

Kwa watumiaji wa iOS:

Nenda kwenye faili linaloitwa project.pbxproj linalopatikana kwenye ios -> Runner.xcodeproj 

Kubadili bundle identifier 

Kwenye hilo faili tafuta palipoandikwa PRODUCT_BUNDLE_IDENTIFIER kisha mbele yake utaona kuna bundle identifier ya app yako. Mfano kwa kimi hapa ipo hii

PRODUCT_BUNDLE_IDENTIFIER = com.example.mafunzo;

 

Hapoo unatakiwa kupadili kwa kuweka unayoitaka. Kwa mfano ninayoitaka ni 

PRODUCT_BUNDLE_IDENTIFIER = com.mafunzo.tehama;

 

Sasa tafuta kila ulipo mstari huu. Zingatia sana kuna mistari mingi ina hiyo identifier lakini hazifanani zote. So tafuta ambazo zinasomeka kasa na hiyo ya kwanza. Kisha replace na hiyo mpya. Vyema kutumia search and replace. Kwa unatumia android studio bofya ctrl + r hapo kutafungua box mbili ya kwanza weka huo mstari unaoutafuta na ya pili kwenya mtari unaobadilishia. Angalia picha hapo chini. Baada ya apo bofya replace all

Baada ya hapo run app hayo, bila shaka bundle identifieritakuwa imebadilika.

Kubadili taarifa nyingne.

Ama tulvyofanya hapo juu bas ama una taarfa nyngne unahtaj uzbadlsha unaweza ubadilisha kwa mtindo hu huo.



Mwisho:

Atika somo linalofuata tutakwend akujifunza jinsiya ku sign App