Utangulizi:

Utambuzi sahihi wa aina ya fangasi uliosababisha maambukizi ni hatua muhimu katika kuamua matibabu bora. Kwa sababu kuna fangasi wengi wanaoathiri sehemu tofauti za mwili, vipimo vya maabara husaidia kudhibitisha maambukizi na kutofautisha kati ya fangasi, bakteria, au virusi. Bila vipimo sahihi, wagonjwa huweza kupatiwa dawa zisizo sahihi, jambo linaloweza kuzidisha tatizo.


Maudhui ya Somo:

1. Vipimo vya Kawaida vya Kutambua Fangasi

a) KOH Preparation (Potassium Hydroxide Prep)

Kutumika kwa ngozi, nywele, na kucha


b) Fungal Culture

Kutumika kwa sampuli za ngozi, damu, mkojo, mate, au CSF (majimaji ya uti wa mgongo)


c) Biopsy na Histopathology

Hutumika pale fangasi wameingia ndani ya tishu (mfano: mapafu, ini, ubongo)


d) Cryptococcal Antigen Test (CrAg)

Inatumika sana kwa fangasi wa ubongo – Cryptococcal Meningitis


e) Aspergillus Galactomannan Test

Hutumika kwa fangasi wa mapafu – Invasive Pulmonary Aspergillosis


f) Molecular Testing (PCR)

Inatumika kubaini DNA ya fangasi moja kwa moja


2. Faida za Kupima Kabla ya Kutibu


3. Ushauri kwa Wagonjwa


Hitimisho:

Vipimo vya maabara ni msingi wa tiba sahihi ya fangasi. Licha ya dalili kuonekana wazi, si kila upele au madoa ni fangasi – na si kila fangasi hutibiwa kwa dawa moja. Hivyo basi, ushauri wa kitaalamu na vipimo stahiki ni muhimu kwa afya bora na matokeo mazuri ya tiba.