6.0. QURAN
          6.1. Sura za Makkah na Madinah.
Mgawanyiko wa Quran.
-  Quran yote ina jumla ya sura 114 Sura zilizoshuka Makkah ni 86 zilizoshuka kwa miaka 13 cha Utume Na za Madinah ni 28 zilizoshuka kwa miaka 10.