SERVER VARIABLES
Hizi ni supperclobal variable ambazo zinaweza utumika popote kwenye file. Variable hizi zinatupa information kuhusu header, request, response na taarifa nyinginezo. Miongoni mwa variable hizi tayari tumekuwa tukizitumia mara kwa mara. So hapa tutazigaw akwenye makundi 6 ambayo ni:-
1. Client Information Variables:
Hizi zenyewe zinamuhusu client. So taarifa hizi zinatoka kwa client yaani browser yako wewe mtumiaji kwenda kwa server l uweza upata respond nayoendana na wewe. Variable hiszi ni kma
-
HTTP_AGENT hueleza uhusu ana ya browser
-
HTTP_ACCEPT hueleza ana ya maudhu yanayoubalwa
-
HTTP_ACCEPT_LANGUAGE hueleza lugha nayoubalwa
-
HTTP_ACCEPT_ENCODNG hueleza ana ya encoding nayotawa
-
HTTP_HOST hueleza jna la host
-
HTTP_REFFERER hueleza referring page yaan abla ya uja page hii ameanza page ipi.
-
HTTP_COOE hueleza cope znazopatikana kwenye header
-
HTTP_CONNECTON hueleza aina ya connection
2. Request Information Variables
Hizi zinatoa taarifa kuhusu request ilyofanya na client. Taarifa hizi ni kama:-
-
REQUEST_METHOD hii hutoa taarifa kuhusu method liliyotumika kama POST, GET, DELETE, OPTIONS
-
REQUEST_URI hii hueleza kuhusu link ambayo hiyo request imefanyika
-
REQUEST_STRING hii hueleza kama kuna string ambazo zilmetumika kwenye hiyo page mfano kama uluwa na box ya usert na hivyo mtumiaji aka serch kwaiyo hizo string alizotumia ku serach zinakwenda kwenye server pamoja na request.
-
REQUEST_TIME huonyesha n muda gan hyo request lfanya
-
REQUEST_TIME_FLOAT hueleza timestamp hyo request lfanya pamoja na unyesha microsecond.
3. Server Information Variables
Hizi hutumwa na server pamoja na response
-
SERVER_NAME huonyesha jina la hosting DNS ama IP address
-
SERVER_ADDR huonyesha AP address ya server
-
SERVER_PORT huonyesha post nayotumwa na serevr uwaslana na wewe
-
SERVER_SOFTWARE ni taarifa maalumu uhusu ama dentfcaton nayopewa hyo request
-
SERVER_PROTOCAL huonyesh protocol nayotumwa na hyo server utuma response
-
SERVER_ADMN :haya ni maelezo maalumu kwend akwenye server admin
-
SERVER_SGNATURE hii ni version kwa kila page hupewa.
4. Script Information Variables
Hii hutoa taarifa kuhusu scrip ama faili ambalo linafanyiwa kazi muda huo
-
SCRIPT_FILE jina la faili la script
-
SCRIPT_NAME jina la script
-
PHP_SELF jina la faili ambalo linafanyiwa kazi muda huo
-
DOCUMENT_ROOT jina la folda ambalo hilo faili linalofanyiwa kazi muda huolipo
5. Request Timing Variables
Hutoa maelekezo kuhusu muda
-
REQUEST_TIME huonyesha muda ambao hiyo request imefanyika
-
REQUEST_TIME_FLOAT huelezea muda katika fomati ya tiestamp na kuonyesha mcrosecond
6.Miscellaneous Variables
Hii hutoa taarifa za ziada
-
GATEWAY_INTERFACE hutoa taarifa kuhusu toleo la CGI linaotumiwa na server
-
PATH_INFO huonyesha location ya faili
-
REMOTE_ADDR huonyesha IP address ya mtumiaji katika ukurasa ambao kwa muda huo atakuwa anauangalia
-
REMOTE_PORT huonyesha hostnname ya ambapo mtumuaji yupo
-
REMOTE_USER hutoa taarifa kuhusu mtumiaji aliyeruhusiwa kutumiaukurasa huo
-
AUTH_TYPE huonyesha aina ya authentication iliyotumika.
-
SCRIPT_URI huonyesha uri ya script inayofanyiwa kazi muda huo.
Mfano:
<?php
echo "Client's IP Address: " . $_SERVER['REMOTE_ADDR'] . "<br>";
echo "Request Method: " . $_SERVER['REQUEST_METHOD'] . "<br>";
echo "Server Name: " . $_SERVER['SERVER_NAME'] . "<br>";
echo "Script Name: " . $_SERVER['SCRIPT_NAME'] . "<br>";
echo "Request Time: " . $_SERVER['REQUEST_TIME'] . "<br>";
?>
Mwisho:
Huu ndio mwisho wa course ya http header. Course inayofuata tutakwenda kujifunza kuhusu json. Course ya json itakuwa ni maandalizi rasmi ya course ya API.