Custom header
Custom header hutumika kutuma taarifa za ziada kwenda kwa client kwa ajili ya kutuma taarifa nyingine ambazo zinaongeza maana zaidi. Ili kuweza kuweka custom header tutatumia function ile ile ya header() ambapo tutaweka header field na value.
header('Custom-Header: value');
Inashauriwa kutumia X kwa ajili ya kuweka custom header name. Ili kutoingiliana kwa header information na hizi za custom information.
Mfano:
<?php
// Set a custom header
header('X-Custom-Header: MyHeaderValue');
// Output content to the client
echo "Custom header has been set.";
?>
Matumizi ya custom header:
kuna matumizi mengi ya custom header ila hapa nitakutajia yafuatayo tu:-
-
Kuweka metadata
Kwa mfano unataka kuweka jina la mwandishi wa maudui.
header('X-Resource-Metadata: version=1.2; author=JohnDoe');
-
Kufanye debugging (testing)
header('X-Debug-Info: debug data here');
Jins ya kusoma custom headers:
W auwa tumeshajifunza jinsi ya kuweka custom heders sasa ni wakati wa kujifunza jinsi ya kuzisoma taarifa hizo kwenye header.
Kwa kuwa custom header inatoka kwa client kwenda kwenye server hivyo hatuwezi kuzisoma. Ila tunaweza kuzionyesha kama kweli zipo kwa kutumia function ya var_dump kwenye headers_list
Mfano:
<?php
header('X-bcg: haloo bongoclass');
header('X-author: version=1.2; author=Bongoclass');
var_dump(headers_list());