Kama tulivyoona kwenye somo lililopita kuwa kuna taaifa nyngi sana kwenye http header. Basi taarifa hiz hapa tutakwenda kuzigawanya kwenye makundi ili kuwza kuzielewa zaidi.

 

Aina za http header:

  1. Content-Type headers

  2. Caching headers

  3. Redirect headers

  4. Cookie headers

  5. Custom headers

  6. Authentication headers

  7. CORS headers

  8. Content-Disposition headers.

 

Tutakwenda kuziona taarifa hizi moja baada ya nyingine katika somo linalofuata. Sasa wacha tuone na aina za server variables.

 

Aina za Server varibles:

  1. Client information variables

  2. Request information variables

  3. Server information variables

  4. Script information variables

  5. Request timing variables

  6. Miscellaneous variables

 

Hizi server variables pia hujulikana kama superglobal variables. Tutakuja kujifunza zaidi mgawanyiko huu kwenye masomo yanayofuata.

 

Mwisho:

Tukutane katika somo linalofuata tutakwenda kujifunza Content-Type headers na zinavyofanya kazi.