Kujuwa jinsi ya kufanya sanitization rudia tena somo la sita mafunzo ya PHP level 3 [1]. Pia rejea mafunzo haya kwa njia ya video kwenye channel yetu ya youtube yenye jina tehama-tz.(cheki link hii). 

Hapa nitakuletea mabadiliko ya code kwenye mafaili baada ya kufanyiwa sanitization, tafadhali rejea mafunzo haya kwa nia ya video ili kupata maelekezo zaidi

 

1. post.php

// form variables
$title = filter_var($_POST['title'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$summary = filter_var($_POST['summary'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$content = $_POST['content'];
$publisher = filter_var($_POST['publisher'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$date = filter_var($_POST['date'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$image = filter_var($_FILES['file']['name'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$folder = "upload/";
$location = $_FILES['file']['tmp_name'];
$size = $_FILES['file']['size']; //1024 = 1kb, 1024 kb = 1mb, 1024 = 1 gb 5*1024*1024 = 5242880
$format = ["webp", "jpg", "jpeg", "png"];
$extension = pathinfo($image, PATHINFO_EXTENSION);

 

hivi ndivyo utaweza kufanya sanitization kwenye user input katika mafaili yaliyobakia kama faili la ku edit na mengineyo.

mwisho

Katika somo linalofuata utajifunza jinsi ya kutumia prepared statement