Utangulizi

Fangasi sehemu za siri ni tatizo linalowapata wanawake kwa wingi, lakini pia wanaume wanaweza kuathirika. Mara nyingi husababishwa na kuongezeka kupita kiasi kwa fangasi wanaoitwa Candida, ambao kwa kawaida hupatikana mwilini bila shida. Tatizo linatokea pale mazingira ya sehemu za siri yanabadilika na kuwafanya hawa fangasi kuongezeka kupita kiasi.


Sasa tuingie kwenye somo let

1. Unyevu mwingi kupita kiasi

Unyevu ni mazingira mazuri sana kwa fangasi kukua. Hii hutokea kwa:

2. Mabadiliko ya homoni

Wanawake wanaweza kupata fangasi kirahisi wakati wa:

3. Kinga ya mwili kuwa chini

Kinga ikishuka, mwili hushindwa kudhibiti fangasi. Hii inaonekana kwa:

4. Matumizi ya dawa za antibiotics

Antibiotics huua bakteria—ikiwa ni pamoja na bakteria wazuri wanaolinda sehemu za siri. Hivyo fangasi hupata nafasi ya kuongezeka.

5. Kutumia sabuni zenye kemikali kali

Sabuni zenye manukato au kemikali nyingi hubadilisha usawa wa asidi (pH) sehemu za siri, na kuongeza hatari ya fangasi.

6. Kujisafisha kupita kiasi (douching)

Kuingiza maji au sabuni ndani ya uke husababisha kuondoa kinga ya asili na kusababisha fangasi kukua.

7. Kuvua au kushiriki taulo/vifaa vya usafi

Hii inaweza kuongeza hatari ya kupata fangasi, hasa kama taulo lina unyevu.

8. Lishe duni yenye sukari nyingi

Sukari huchochea fangasi aina ya Candida kuongezeka kwa kasi.

9. Magonjwa sugu ya ngozi ya eneo la uke/uume

Kama eczema au psoriasis, yanayoweza kuongeza hatari ya maambukizi.


Je wajua…

Je wajua kuwa fangasi wa Candida wanaweza kuongezeka ndani ya masaa 24 tu ikiwa mazingira ya sehemu za siri yatakuwa na joto na unyevu mwingi?


Hitimisho