Swai

👉 Nimetoka kufanya tendo la ndoa ghafla tumbo likaanza kukaza upande wa kushoto na kutoka maji yenye uzito wa kawaida kama ute mengi je hii itakuwa ni nini ❔

 

Jibu

✍️ Maumivu hayo yana yanaweza kusababishwa na 

 

👉Gesi, 

 

👉huwenda staili iliyotumika iliruhusu uume kugusa ndani zaidi ya mfuko wa uzazi.

 

👉Zipo sababu nyingi ila mara nyingi hali hizi hutokea kama mwanamke aliingia kileleni kisha misuli ya nyonga ikakaza.  Kitaalamu huitwa dysorgasmia. 

 

Kama maumivu yatapoa huna haja ya hufikahospitali🏥. 

 

Ama kuhusu ute ni kuwa sababu umeingia kileleni kwa hisia kubwa (hongera) ✅