Swali 

mwezi juzi niliingia tarhe 21 ila mwez uloisha nmeingia tarh 25 maana mzunguko wangu umekuwa mrefu nikahs naujauzito kumbe mzunguko umebadilika hapo tatz n nn

 

Swali 

Pia mwez huu nimetumiwa dawa za clomid Leo nipo siku ya 19 nauwezkn wa kushika mimba❔

 

Jubu

Kuvurugika kwa siku za hedhi,  kuwa nyingi ama kupunguwa husababishwa na mabadiliko ya homoni. 

 

Mabadiliko haya yanaweza kusababishwana maradhi,  madawa ya uzazi wa mpango,  mazingira,  vyakula, misongo ya mawazo na mengineyo

 

Kama unatumia dawa ya clomid, dawa hii kazi yakeni kuchochea utoaji wa yai katika ovari. Hivyo unatarajiwa kupata yai kati ya siku ya 5 hadi ya 10 toka kumeza dawa ya mwisho. Tumianahesabu haya rahisi kujuwa. 

 

Onana na daktari kwa changamito yoyote yavyzazi utakayikutana nayo. Hakikisha hutumii dawa za uzazi wa mango bila ya kuzungumza na daktari. ✍️