Swali: 

Kutokwa maji yan seminal swhemu za siri kwa mwanamke nidalili ya ugojwa gan?

 

Jibu

👉 kwa mwanamke kama Majimaji yana harufu mbaya na yanawasha huwenda ni dalili ya PID ama FANGASI

 

👉 endapo Majimaji yana rangi ya kijani,  huwenda ni dalili ya fangasi ama PID ama mashambulizi mengine. 

 

👉 yakiwa kama majimajjvya yai ama kama maziwa huwenda ni ujauzito. 

 

Mwisho vyemabufike hospitali upate vipimo zaidi.