Swai

? Nilikuwa nasoma kuhusu ugonjwa wa fangasi ya mdomo na ulimi hilo tatizo linanisumbua kwa mda napata muwasho juu ya ulimi naomba ushauli wako ili niweze kutatua hilo tatizo

 

Jibu: 

? Fangasi wa kwenye Kinywa wanatibika. Karibia maduka yote ya dawa dawa za fangasi wa mdomoni zinapatikana. Fika kituo cha afya ikiwa hutapata nafuu. 

 

? Unaweza kutumia fluconazole ama dawa nyingine.  Fika kituo cha afya kwa uchunguzi zaidi.