Hatua za Kufuata Kabla ya Kununua Simu ya Mtumba

​1. Hakikisha Simu Sio ya Wizi

​Jambo la kwanza kabisa ni kuhakikisha kuwa simu unayonunua haijaripotiwa kuwa imeibiwa.

​2. Kagua Mwonekano wa Nje (Physical Inspection)

​Chukua muda wako kuitazama simu kwa makini kwenye mwanga wa kutosha.

​3. Jaribu Kazi Zote za Simu (Functional Test)

​Usichukue tu simu na kuondoka. Ijaribu kwa dakika chache:

​4. Fanya 'Factory Reset' Kabla ya Kukamilisha Malipo

​Kamwe usichukue simu yenye taarifa za mtu mwingine.

​Je! Wajuwa? (Fact Check)

​Je, unajua kuwa unaweza kupima ubora wa kioo (Touchscreen) kwa kutumia mbinu rahisi sana?

​Ndiyo! Fungua programu ya kupigia simu (Dialer), na uingize kodikodi za Test Mode kulingana na aina ya simu yako (kwa mfano, Samsung hutumia *#0*#). Hii itakupeleka kwenye menyu maalum ambapo unaweza kupima rangi za kioo, Touch, na Vibration. Kama kioo kina sehemu isiyopokea Touch, utaiona waziwazi wakati wa jaribio hili.

 

​Hitimisho

​Kununua simu ya mtumba kunahitaji uwe na "macho makali." Usikubali kushinikizwa na muuzaji kutoa pesa haraka. Ukiona kitu hakiendi sawa, ni bora kuacha na kutafuta simu nyingine. Kumbuka, amani ya moyo baada ya kununua ni bora zaidi kuliko bei rahisi ya simu