🕊ï¸ðŸ•Šï¸Swali:
ðŸ˜ðŸ˜Je na kwa upande wa mwanaume kuumwa upande wa kushoto wa tumbo kuna shida gani?
JIBU
👉Huwenda ikawa ni dalili ya henia, ama tumbo limejaa gesi, inaweza kuwa ikawa ni kwasababu umekolea choo.
👉 Pia unaweza kuwa ni Ichiro kuwa kuna shida katika mfumo wa nneng'enyo wa chakula kama fuga.
🕊ï¸ðŸ•Šï¸ Fikakituo cha afya upate vipimo 🌡ï¸ðŸŒ¡ï¸ na matibabu 💊💉endapo hali itaendelea kukusumbuwa.