Je ,mafua yanayojirudia Mara kwa Mara hasa wkati was baridi ,au vumbi likiingia puan chafya haziishi,Hilo nalo ni upungufu wa vitamin c?
calendar_today August 1, 2018 |
visibility 2181 views
Je ,mafua yanayojirudia Mara kwa Mara hasa wkati was baridi ,au vumbi likiingia puan chafya haziishi,Hilo nalo ni upungufu wa vitamin c?
Dokta, hujambo
Namba ya swali 011
Sijambo, vipi hali
Namba ya swali 011
Nzuri nina swali
Namba ya swali 011
Uliza tafadhali
Namba ya swali 011
Je ,mafua yanayojirudia Mara kwa Mara hasa wkati was baridi ,au vumbi likiingia puan chafya haziishi,Hilo nalo ni upungufu wa vitamin c?
Namba ya swali 011
Hapana Ila ni kweli kuwa vitamini c vinasaidia katika kuthibiti mashambulizi ya mara kwa mara mwilini
hawa katika kusaidia kutia nguvu kwenye kinga ya mwili.
Namba ya swali 011
Ahsante dokta
Namba ya swali 011
Karibu tena
Namba ya swali 011
Posti Zilizohusiana
Faida za kiafya za kula fyulisi/ peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach