HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEUMWA NA NYOKA – MUONGOZO KUTOKA KWA MTALAMU WA AFYA

Utangulizi
Kuumwa na nyoka ni hali ya dharura ya kiafya inayohitaji matibabu ya haraka. Lakini katika mazingira mengi ya vijijini na porini, mgonjwa anaweza kuwa mbali na hospitali au msaada wa kitabibu. Hali hii inahitaji hatua za haraka za huduma ya kwanza ili kupunguza madhara kabla ya kufikishwa kituo cha afya.


HATUA ZA HARAKA ZA HUDUMA YA KWANZA

1. Muondoe mgonjwa mahali alipoumwa

2. Mtulize mgonjwa

3. Mpumzishe sehemu moja

4. Banio (Pressure Immobilization Technique) – Ikiwezekana

5. Kuinua eneo lililoumwa (kidogo)

6. Ondoa vitu vya kubana


MAMBO YASIYORUHUSIWA KUFANYWA

? USIFANYE HAYA KABISA:


MAMBO YANAYORUHUSIWA / YANAYOSAIDIA

✅ Haya yanaweza kusaidia:


DALILI ZA KUWA MAKINI NAZO (ONYO)

Zikitokea, mgonjwa anatakiwa afikishwe hospitali HARAKA iwezekanavyo:


Hitimisho

Huduma ya kwanza ni hatua ya kuokoa maisha. Kwa aliye mbali na kituo cha afya, utulivu na uelewa sahihi ni silaha muhimu. Baada ya hatua za awali, mgonjwa apelekwe hospitali haraka iwezekanavyo kwa ajili ya tiba ya sumu ya nyoka (antivenom) na uangalizi wa kitaalamu.

Kumbuka: Kila aina ya nyoka ana sumu tofauti, hivyo matibabu ya kitaalamu hayaepukiki.