Swali: 

Habari Mimi ni mjamzito was miezi Tisa sasa nimeanza kutokwa na maji kidogo kidogo ukeni bila uchungu na no mimba yangu ya kwanza he Kuna shida?

 

Jibu

👉 Huwenda huna shida yeyote.  Kutoka na Majimaji mimba ikiyokomaa ni hali ya kawaida na ni dalili pia kuwa upo karibu kujifunguwa.