Fahamu tiba ya lishe kwa wagonjwa wa kisukari.
1. Tumia tunda moja la passion.
chukua tunda moja la passion na unaliosha vizuri kabisa na kuhakikisha kubwa ni safi.
2. Chukua mbegu za ubuyu kiganja kimoja na hakikisha ni safi.
3. Chukua maji safi na salama.
4. Andaa vifaa vyako kwa ajili ya kutengeneza.